Hahahahaa wewe jamaa bwana?Eti Manara ni msemaji na mlalamikaji mkuu wa Simba.Weka wazi mzee tuwaangalie katika kona ipi? Tayari Jerry ni msemaji na mchekeshaji mkuu wa Yanga. Haji ni msemaji na mlalamikaji mkuu wa Simba.
Hawa hawahusiki na kushika pesa zaidi ya kubwabwaja kwenye vyombo vya habari.
Mkuu tuweke wazi usitufumbe