Jerry Muro hatihati kufungiwa na TFF na kuondolewa Yanga kwa ukosefu wa nidhamu uliotukuka!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
ikiwa leo ni mara yake ya pili kufanya vitimbi katika medani ya soka yule msemaji " mpayukaji " wa klabu ya yanga fc jerry muro amekalia kuti kavu mara baada ya uongozi wa klabu ya kimondo kupanga kumchukulia hatua za kinidhamu kutokana na matamshi yake ya matusi, kejeli, dhihaka na kashfa dhidi ya mkurugenzi wa klabu ya kimondo bwana erick.

Na kwa wale wote mliosikiliza kipindi cha michezo cha clouds fm leo mtakuwa mlisikia yale maneno ya kashfa za jerry muro ambaye wadau wa soka mara kwa mara wamekuwa wakimsihi na kumwongoza jinsi ya kuwa mwanamichezo hata ktk uzungumzaji wake lakini mara nyingi amekuwa akiwapuuza. na aliyepigilia " msumari " wa mwisho kwa jerry muro ni katibu mkuu wa yanga bwana tiborowa ambaye alipoulizwa na mapema katika kipindi cha michezo cha e fm na mtangazaji mahiri maulid kitenge kuwa je yale maneno au kauli zile alizokuwa akizitoa msemaji wa yanga jerry muro ni wao kama klabu ndiyo walimtuma au hapana na jibu alilolitoa ni kwamba hapana wao kama yanga hawakumtuma jerry muro kusema "utumbo" ule hivyo wao kama yanga hawahusiki na kwamba jerry muro ajibebe mwenyewe.

hivyo wakati uongozi wa kimondo kesho ukija dar tff kufungua mashtaka kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa usiku huu kwamba huenda uongozi wa yanga ukafanya kikao kesho baada ya mechi yao ya kirafiki na kmkm au siku mbili tatu hizi ili kumjadili jerry muro na kuna uwezekano mkubwa jerry muro akapewa mkono wa kwaheri yanga kwani wameshamuonya sana ktk utendaji wake wa kazi lakini " habadiliki " na wao " yanga " wamechoka na wamemchoka kwani anaweza akaiharibu image ya yanga haswa kwa wanayanga na haswa haswa wadhamini wao.

pole sana jerry muro ila ndiyo majukumu hayo na jiandae sasa kisaikolojia.
 
ikiwa leo ni mara yake ya pili kufanya vitimbi katika medani ya soka yule msemaji " mpayukaji " wa klabu ya yanga fc jerry muro amekalia kuti kavu mara baada ya uongozi wa klabu ya kimondo kupanga kumchukulia hatua za kinidhamu kutokana na matamshi yake ya matusi, kejeli, dhihaka na kashfa dhidi ya mkurugenzi wa klabu ya kimondo bwana erick.

Na kwa wale wote mliosikiliza kipindi cha michezo cha clouds fm leo mtakuwa mlisikia yale maneno ya kashfa za jerry muro ambaye wadau wa soka mara kwa mara wamekuwa wakimsihi na kumwongoza jinsi ya kuwa mwanamichezo hata ktk uzungumzaji wake lakini mara nyingi amekuwa akiwapuuza. Na aliyepigilia " msumari " wa mwisho kwa jerry muro ni katibu mkuu wa yanga bwana tiborowa ambaye alipoulizwa na mapema katika kipindi cha michezo cha e fm na mtangazaji mahiri maulid kitenge kuwa je yale maneno au kauli zile alizokuwa akizitoa msemaji wa yanga jerry muro ni wao kama klabu ndiyo walimtuma au hapana na jibu alilolitoa ni kwamba hapana wao kama yanga hawakumtuma jerry muro kusema "utumbo" ule hivyo wao kama yanga hawahusiki na kwamba jerry muro ajibebe mwenyewe.

Hivyo wakati uongozi wa kimondo kesho ukija dar tff kufungua mashtaka kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa usiku huu kwamba huenda uongozi wa yanga ukafanya kikao kesho baada ya mechi yao ya kirafiki na kmkm au siku mbili tatu hizi ili kumjadili jerry muro na kuna uwezekano mkubwa jerry muro akapewa mkono wa kwaheri yanga kwani wameshamuonya sana ktk utendaji wake wa kazi lakini " habadiliki " na wao " yanga " wamechoka na wamemchoka kwani anaweza akaiharibu image ya yanga haswa kwa wanayanga na haswa haswa wadhamini wao.

Pole sana jerry muro ila ndiyo majukumu hayo na jiandae sasa kisaikolojia.

acha afukuzwe tu make anajifanya anajua kumbe aungua jua
 
acha afukuzwe tu make anajifanya anajua kumbe aungua jua huyu koplo
 
Back
Top Bottom