mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Wa kimataifa, ndembendembe mlalo wa mende chaaaaliJerry muro anawapa shida sn watu unaweza kuta hadi wakilala na wake zao wanamuota.
Nyie mlipigwa vitatu hapo hapo Taifa,mnavyoishangilia Mazembe inaonesha ni jinsi gani mliwamisi.Wa kimataifa, ndembendembe mlalo wa mende chaaaali
yaan we ni mwehu sio bureWa kimataifa, ndembendembe mlalo wa mende chaaaali
Hahah Kwani jana wa kimataifa walifanywa nini?yaan we ni mwehu sio bure