mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Mbona hata Kiswahili watu tunakosea sana
Licha ya kuwa ndo lugha yetu ya Kwanza.....
Na Spika naye jana kasema Mnyika iam taken reaction
Sio watanzania wote Kiswahili ndo lugha yao ya kwanza
wengi kiswahili lugha ya pili...kingereza ya tatu
unaweza kuona hapo matokeo yake
Hiyo ni kweli.
Lakini kwa mfano mimi, kwangu Kiswahili naweza kusema ndo lugha yangu ya kwanza, Kisukuma ni lugha yangu ya pili, na Kiingereza ya tatu.
Ila pia, hata wale watu ambao Kiingereza ni lugha yao ya kwanza nao hukosea sana tu mbona.
Mfano Barack Obama na G.W. Bush washawahi kukosea Kiingereza mara kadhaa tena hadharani kabisa.
Sasa hao kweli unaweza kusema Kiingereza si lugha yao ya kwanza?
Sisi kukosea kingereza ni kama 'kuonekana hujasoma'
naona shida inaanzia hapo...
mtu atakukosoa kama anataka ku prove kwa watu hujaenda shule
au mtu anakukosoa kwa nia nzuri but mtu anaona 'kadhalilishwa'..
Aisee umeandika kwa kupania We utakuwa simba sio bure!
Kila sentence umeanza na herufi kubwa.