Jerry Muro Mtani kaishangilia Simba leo, nimeshangaa?

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
Ameanza kuizoea soka , kaishangilia Simba. Je wewe tafakari chukua hatua.

Tafadhali hatununui shabiki, Poleni vyura wazee, na ile mvua sijui pakoje hapo KATI maeneo ya Jangwani.Maana pale taifa mzee Baba wakuitwa Benjamini alimleta hihoo lakini mafuriko yalisimamisha mechi.Laleni salama

 
Huyo anamfuata Makonda, si unajua Mheshimiwa Makonda ni Simba damu?
 
Tokea atimuliwe yanga huyo Muro anaikashifu sana yanga mitandaoni anawasema sana yanga

Sijashangaa yeye kushangilia simba
 
Ipo siku kila mtu ataishangilia simba.......Simba kapiga mpira mkubwa sana.
Hapo ndio tunafeli kila siku kipiga Mpira mkubwa bila kuwa na ushindi haina maana.
Ndio yale ya wapemba kufungwa twafungwa lkn chenga twawala.
 
Kwani ukiwa Yanga... Simba ikicheza na timu tofauti na Yanga ni dhambi kushangilia? Ingekuwa Simba na Yanga then anashangilia Simba on that time hapo ingekuwa hoja ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…