Jerry Muro, nili mmiss je?

Jerry Muro, nili mmiss je?

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,952
Reaction score
938
Leo nimemuona TBC, anaongza kipindi maalum. Mada ni upatikanaji wa gesi asilia kuna dalili tukapata majibu. Ameanza na historia nzuri sana, at aonyeshe Songo songo na Mtwara. KIjana nampenda sana huyu, kwa bidii na ubunifu wa vipindi. Hongera sana Jerry.
 
Sana...anajua nn anafanya! Akagu wengine wabaketa zengwe kwa nn jameniii aaahhh!!!
 
Hili ni jembe mwingoni mwa majembe katika taaluma yake.
 
Bonge moja la mwandishi kwaTz

Nadhani wakati ule wa kubambikizwa kesi ya Rushwa hawa jamaa walikuwa hawajagundua mbinu mbadala ya kunyamazisha watu, ila huyu nadhani ndio angekuwa wa awali kabisa kung'olewa meno na kucha bila ganzi!
 
dhuuu!!!we kweli BabaUbaya...
 
Kweli mkuu huyu jamaa ndy angekuwa wa kwanza kuokotwa mabwepande!..

Back
Top Bottom