Hivi kwa sasa yupo wapi? Kapotea sana!
Ni mtangazaji binafsi pia ni msemaji wa Yanga na ana vipindi vingi vya mashirika ya Umma kama afanyavyo Pascal Mayalla!
Mwandishi pekee anayetafuta habari na pingu mkononi! Msanii na tapeli tuu huyo..ukitaka kujua jamaa ni tapeli msikilize kila siku kwenye vipindi vya michezo! Anataka kutisha kila mtu..ile kesi yake ya utapeli ilikuwa ya kweli sema aliungwa mkono tu kwa kuwa alikwaruzana na polisi ambao hawaaminiki tena tz