Amefanya nini?Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke.
Jaribu unaweza kupata bahati!
anatetea utekaji kwa kumsakama gwajimaAmefanya nini?
Tanzania ninchi inayoongoza kwa watu wake kupata teuzi kwa sababu tu ya u-kibaraka. Hyu mwehu kaona kuna uchochoro wa kupita japo siyo wa uhakika.Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke.
Jaribu unaweza kupata bahati!
Ni aibu kumjibu mtu bila kuelewa mantiki ya alichokisema!anatetea utekaji kwa kumsakama gwajima
exactly!Ni aibu kumjibu mtu bila kuelewa mantiki ya alichokisema!
Jerry muro hajamuelewa GWAJIMA.
AMEPUYANGA KUMJIBU APATE HURUMA YA UTEUZI
Hata kama ni script. Assume rena!exactly!