Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,149 Reaction score 2,232 Mar 28, 2015 #41 Jerry Muro hakuwa na pingu, amfunge Huyo mchawi?? Maana amezoea kutembea Na pingu
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 2,902 Reaction score 1,875 Mar 28, 2015 #42 Nashukuru mungu huyo mbulura alitoka salama pale JANGWANI but km angekuwa wa wananchi ndio kaenda kule mtaa wa pili thread ambayo ingekuwa hapa ni R I P ...!
Nashukuru mungu huyo mbulura alitoka salama pale JANGWANI but km angekuwa wa wananchi ndio kaenda kule mtaa wa pili thread ambayo ingekuwa hapa ni R I P ...!