Ati nnAdai kwa nini vyombo vya habari Leo vinamuona bashite tu kwenye ripoti ya vyeti feki na sio bilioni tano zilizookolewa kwa kuwafukuza watu 9930.
Adai pia vyombo vya habari Tanzania viko huru sana, tofauti na hivyo wasingeweza kumwandika bashite na wasifungiwe.
Kwa mahakama zipi? acha ale bata mjini.Jinai Ya Bashite Ni Kubwa Sana Kuliko Anavyowatumia Hao Akina Murro
Halafu Huyo Jerry Eti Ana Masters Ndiyo Hadi Leo Hajitambui Kabisa
Duh Wasomi Punguzeni Njaa Nchi Inateketea Kwa Ujinga. Bashite Anatakiwa Kuwa Kisutu Court Kujibu Tuhuma Ambapo Pasipo Na Shaka Atafungwa