chinchilla coat JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 5,107 Reaction score 10,969 Jun 2, 2016 #1 Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro akizungumza na waandishi wa habari amedai kuna watu wanahujumu uchaguzi wa klabu hiyo ndani ya TFF, Serikali na Yanga wamesema wana ushahidi na wanaendelea kukusanya ushahidi na wakabisha atautoa ushahidi huo
Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro akizungumza na waandishi wa habari amedai kuna watu wanahujumu uchaguzi wa klabu hiyo ndani ya TFF, Serikali na Yanga wamesema wana ushahidi na wanaendelea kukusanya ushahidi na wakabisha atautoa ushahidi huo
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 2, 2016 #2 Kila siku ni Muro na yule jamaa wa Simba hivi timu zingine vipi? Wapi msemaji wa Azam
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,536 Jun 2, 2016 #3 Muro kwa kuropoka tu hajambo ndio maana walimkamatisha rushwa kumfunga spidi ya kelele.
Elijah O JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,118 Reaction score 916 Jun 2, 2016 #4 Jerry kila Siku yeye.
Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,656 Reaction score 6,886 Jun 2, 2016 #5 Pingu sianazo awakamate wahujumu Serikali na TFF?