Michezo yote si uadui ila ni utani na ushabiki tu. Jerry Muro alikuwa anajiona mno na kama si kibano cha TFF asingeweza kukutana na Hadji Manara. Ama kweli ajikwezae Mungu humteremsha.