Jerry Rawlings na Rais John Pombe Magufuli wanapaswa kutanishwa

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Jerry Rawling ni Rais wa Ghana ambaye ukiacha kwamme Nkuruma yeye anafuwata pamoja na kwamba Ghana imetawaliwa
 
Acheni kumlinganishwa Mwamba huyu wa SADEC Ndugu John Magufuli na vitu vya Hovyo hovyo .

Nmeanza kuamini huyu Jabali hata Kambarage anasubiri sema tu Kambarage hakutawala zama hizi za kila mtu kuwa Mchambuzi wa Siasa
 
Magufuli hawezi kumkuta Kambarage hata robo
 
Acheni kumlinganishwa Mwamba huyu wa SADEC Ndugu John Magufuli na vitu vya Hovyo hovyo .

Nmeanza kuamini huyu Jabali hata Kambarage anasubiri sema tu Kambarage hakutawala zama hizi za kila mtu kuwa Mchambuzi wa Siasa
Kungekuwa na kina kabendera wengi kuliko sasa
 
Back
Top Bottom