Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Mar 24, 2025 #1 Mbunge wa Ukonga, Mhe. Jerry Silaa, ameahidi ujenzi wa barabara ya lami katika Kata ya Kivule, akisema kero hiyo itaondolewa hivi karibuni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza katika fainali ya Jerry Silaa Ramadhani Cup, Silaa pia amewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Aidha, amesisitiza umuhimu wa michezo kama fursa ya ajira kwa vijana. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Ukonga, Mhe. Jerry Silaa, ameahidi ujenzi wa barabara ya lami katika Kata ya Kivule, akisema kero hiyo itaondolewa hivi karibuni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza katika fainali ya Jerry Silaa Ramadhani Cup, Silaa pia amewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Aidha, amesisitiza umuhimu wa michezo kama fursa ya ajira kwa vijana. Your browser is not able to display this video.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Mar 24, 2025 #2 Mmezingua sana ina maana mpaka leo hakuna lami Ova
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Mar 24, 2025 #3 Alikuwa wapi kipindi alivyokuwa waziri wa ardhi na vyoo
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,949 Reaction score 2,081 Mar 25, 2025 #4 Na hivi Jimbo linagawanywa watasubiri vya kutosha. Barabara siku zote mbovu.