Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe!

Dalili za mvua ni mawingu. Tulishaona mawingu kabla lakini wengi hawakujua wakayadharau sasa wanaisoma namba.
 
JF kumbukumbu hazichomwi.....hapo watu wameibuwa uzi ili kuhakikisha Jerry anakosa UDC.
 
Wabongo kwa kuharibiana,jamaa ndo basi tena.Huu uzi umemtonesha kidonda mkuu wa kaya.
 
Watu bana wanataka Magufuli akiwa Mwenyekiti wa ccm ampige chini huyu dogo hata ndani ya ccm, kwa usalama wake ahamie ukawa
 
Hahaha kumbe alishamletea Magufuli kibesi na Magufuli asivyopenda kukosolewa ndio Jerry anakula jeuri yake sasa hivi
 
He,kumbe ndo maana jerry kakosa hata ka ukuu wa wilaya,alishawahi kuchafua hali ya hewa
 
Shikamoo JF, ila maoni yangu, mtu ukishakuwa rais bana inabidi tu kumezea mambo yaliyopita nafasi ya urais ni kubwa sana, ku carry forward vinyongo na watu wa chini, hasa ukiwa unamtegemea Mungu.

So kama mtu ana deserve acha afanye kazi.
 
He,kumbe ndo maana jerry kakosa hata ka ukuu wa wilaya,alishawahi kuchafua hali ya hewa
Jerry ni mtu wa dili. Magufuli ni mtu wa kazi na haki. Jerry ni mtu wa kujikweza. Magufuli ni mtu asiye na mbwembwe. Kwa kifupi hawa watu wawili ni kama maji na mafuta. Jerry anaendana na Kikwete (kwani Kikwete alikuwa nawapenda sana watu wa sampuli yake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…