Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Bado haja explain, shirika lina track record mbaya since awam to awam? Why hiyo hali haibadiliki?"Mfano Shirika la TTCL ambayo chini ya wizara yangu. Ingekuwa mashirika haya yanapata hasara kwa aina hiyo ambayo ni hasara ya kawaida ambayo tunaijua kwenye biashara zetu ndogo ndogo maana yake yangesimama, yangekufa. Lakini unavyo-compute hasara kwenye shirika zipo Hesabu nyingi ambazo unaziweka kwenye Hesabu zako"- Jerry Silaa - Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
View attachment 3290892
Nimejitahidi kumsikiliza ila nmetoka patupuHayo maelezo hata hayaeleweki
Mnaanza kuingiza siasa kwenye hesabu na deni la mama. Hamjui kuwa namba hazidanganyi?Wakuu aliyemuelewa Waziri atueleweshe na sisi anasema kuwa;
"Mfano Shirika la TTCL ambayo chini ya wizara yangu. Ingekuwa mashirika haya yanapata hasara kwa aina hiyo ambayo ni hasara ya kawaida ambayo tunaijua kwenye biashara zetu ndogo ndogo maana yake yangesimama, yangekufa. Lakini unavyo-compute hasara kwenye shirika zipo Hesabu nyingi ambazo unaziweka kwenye Hesabu zako"- Jerry Silaa - Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
View attachment 3290892
Hawa watu unaweza kuwatukana kabisa.Wakuu aliyemuelewa Waziri atueleweshe na sisi anasema kuwa;
"Mfano Shirika la TTCL ambayo chini ya wizara yangu. Ingekuwa mashirika haya yanapata hasara kwa aina hiyo ambayo ni hasara ya kawaida ambayo tunaijua kwenye biashara zetu ndogo ndogo maana yake yangesimama, yangekufa. Lakini unavyo-compute hasara kwenye shirika zipo Hesabu nyingi ambazo unaziweka kwenye Hesabu zako"- Jerry Silaa - Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
View attachment 3290892
ama kweli CCM ni janga!!!๐ฟKwenye corporate accounts kuna kitu kinaitwa breakeven,kama hujabreakeven faida inahesabika ni hasara,Kwa ATCL kuja kubreakeven sio leo
Wapewe tu aisee! Hawa jamaa wanachezea tu pesa zetuKwa hiyo CAG ametuambia uongo? Sisi sote tunaona wazi TTCL iko taabani wafanyakazi wake ni ndugu zetu ni taabani, huduma zake ni mbovu. Sasa unachotetea hata hakieleki. Yote kwa yote linapata hasara! Kama sasa wewe unayetakiwa kufanya mageuzi unao mtizamo wa kutetea hasara! ๐Duh! TZ tuna kazi kweli kweli. Mie naona nako huko DP World walichukue tu!