Jesca Charles wa Twanga pepeta yupo wapi??

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346
wakuu kati ya wadada waliokuwa wananifanya nipagawe kwenye muziki wa twanga ni pamoja na huyu dada Jesca, lakini kwa kipindi kilefu sasa amekuwa haonekani au ameachana na shughuri ya muziki? wadau wenye wenye kujua yupo wapi na anafanya nini mtujuze..
 
Yupo Uiegerezani - ameolewa na Mzungu na maisha ya Muziki ameyaweka kando as of now..
 
wakuu kati ya wadada waliokuwa wananifanya nipagawe kwenye muziki wa twanga ni pamoja na huyu dada Jesca, lakini kwa kipindi kilefu sasa amekuwa haonekani au ameachana na shughuri ya muziki? wadau wenye wenye kujua yupo wapi na anafanya nini mtujuze..

Sijui ndo alichukuliwa na yule bwanake wa kizungu...!
Maana wazungu kwa kuchukua rasilimali na nyara zetu wako sharp hawa!
 
Yule yule, yule yule,yule wamemchukuaaaa-Ally Choki
 
wakuu kati ya wadada waliokuwa wananifanya nipagawe kwenye muziki wa twanga ni pamoja na huyu dada Jesca, lakini kwa kipindi kilefu sasa amekuwa haonekani au ameachana na shughuri ya muziki? wadau wenye wenye kujua yupo wapi na anafanya nini mtujuze..

hivi nae ni celebrity?alikuwa mzuri kama aisha madinda?
 
Huyu Hapa
 
Attachments

  • 14429two.jpg
    14429two.jpg
    3.3 KB · Views: 217
Ni mweupe hivyo au kajimenya?

Kwi kwi kwi!
Naona hili ni swali la nyongeza, wenye majibu wanakuja. Lakini kwa kuanzia angalia tofauti ya rangi kati ya mabega na uso!
 
Back
Top Bottom