wakuu kati ya wadada waliokuwa wananifanya nipagawe kwenye muziki wa twanga ni pamoja na huyu dada Jesca, lakini kwa kipindi kilefu sasa amekuwa haonekani au ameachana na shughuri ya muziki? wadau wenye wenye kujua yupo wapi na anafanya nini mtujuze..
Hawa jamaa ni noma hadi dada zetu nao wamekuwa rasilimali!Sijui ndo alichukuliwa na yule bwanake wa kizungu...!
Maana wazungu kwa kuchukua rasilimali na nyara zetu wako sharp hawa!
Sijui ndo alichukuliwa na yule bwanake wa kizungu...!
Maana wazungu kwa kuchukua rasilimali na nyara zetu wako sharp hawa!
ndo yule aliyekuwa na kaumbo ka utata??
ndo yule aliyekuwa na kaumbo ka utata??
wakuu kati ya wadada waliokuwa wananifanya nipagawe kwenye muziki wa twanga ni pamoja na huyu dada Jesca, lakini kwa kipindi kilefu sasa amekuwa haonekani au ameachana na shughuri ya muziki? wadau wenye wenye kujua yupo wapi na anafanya nini mtujuze..
hivi nae ni celebrity?alikuwa mzuri kama aisha madinda?
Huyu Hapa
Huyu Hapa
Hebu weka picha yake tumwone kama analipa...
Ni mweupe hivyo au kajimenya?
kinamama mbona mnakuwa wazito kusifiana....