Jesca Gasaise ndie nyota kabisa wa basketball kwa upande wa wanawake

Jesca Gasaise ndie nyota kabisa wa basketball kwa upande wa wanawake

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Kutoka Juhudi Sekondari JKT Female Basketball team na Sasa namuona kwenye team ya Mara female basketball team huyu nadhani kwa Sasa ndie nyota kabisa wa basketball kwa upande wa wanawake nimekosa picha yake ila ni mtabe sana
 
Ni huyu? Au mwingine?
 

Attachments

  • 1718999095128.png
    1718999095128.png
    430.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom