uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Jun 22, 2024 #1 Kutoka Juhudi Sekondari JKT Female Basketball team na Sasa namuona kwenye team ya Mara female basketball team huyu nadhani kwa Sasa ndie nyota kabisa wa basketball kwa upande wa wanawake nimekosa picha yake ila ni mtabe sana
Kutoka Juhudi Sekondari JKT Female Basketball team na Sasa namuona kwenye team ya Mara female basketball team huyu nadhani kwa Sasa ndie nyota kabisa wa basketball kwa upande wa wanawake nimekosa picha yake ila ni mtabe sana
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jun 22, 2024 #2 Jitahidi uitafute hiyo picha tumuone
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Jun 22, 2024 Thread starter #3 makaveli10 said: Jitahidi uitafute hiyo picha tumuone Click to expand... Najitahidi niipate kupitia tv maana hana profile kabisa kwenye google Nimeshangaa
makaveli10 said: Jitahidi uitafute hiyo picha tumuone Click to expand... Najitahidi niipate kupitia tv maana hana profile kabisa kwenye google Nimeshangaa
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Jun 22, 2024 Thread starter #4 makaveli10 said: Jitahidi uitafute hiyo picha tumuone Click to expand... Attachments VID_20240622_183230.mp4 3.8 MB
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Jun 22, 2024 #5 Ni huyu? Au mwingine? Attachments 1718999095128.png 430.4 KB · Views: 3