Uchaguzi 2020 Jesca Kishoa achukua fomu ya kuomba Ubunge jimbo la Iramba Magharibi - CHADEMA

Uchaguzi 2020 Jesca Kishoa achukua fomu ya kuomba Ubunge jimbo la Iramba Magharibi - CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
_TAARIFA_   Naibu Katibu Mkuu BAWACHA Taifa Jesca Kishoa leo Julai 8, 2020 amech ( 490 X 640 ).jpg

Wasifu
Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.

Elimu
Ruaha IringaDegree20102013Bachelor Degree
Dr. Salmin Secondary SchoolCSEE20042007Secondary School
Hijra Seminary Secondary SchoolACSEE20082010Secondary School
Nyerere Primary SchoolCPEE19972003Primary School
 
Tume huru, tume huru, inayojitegemea ktk maamuzi, ndio ushindi wake tofauti na hapo ni sawa na ze comedy show.
 
Iramba magharibi waache kumpa mzawa wampe mchaga Jesca KISHOA yatakuwa maajabu ya dunia

viti maalumu alipewa tu sababu ya kabila yake sababu anatokea kilimanjaro anakotokea mwenyekiti wa chadema Mbowe wakaachwa wazawa
Mkabila huyu
 
Ushapeleka TAKUKURU? Wahi siku hizi wanatafuta porojo mpya kama zako.
 
Back
Top Bottom