Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Atakuwa anaandaliwa kumfuata JPMKalemani nae itakuwaje sasa?
Apotee tu aisee, Ngebe zilimjaa sana Msukuma yuleAtakuwa anaandaliwa kumfuata JPM
Anagombea au anapewa?Wakuu!
Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
Katika mawaziri niliowapenda ni pamoja na huyo.Apotee tu aisee, Ngebe zilimjaa sana Msukuma yule
Uliotea naona mie zilinitoka zaidi ya 12 ya kwakoNilivyomaliza kuunganishiwa tu ni kama toto bima, vikafutwa
Pole mkuu. Hii nchi hii!Uliotea naona mie zilinitoka zaidi ya 12 ya kwako
Pamoja na yote bado he was worst minister to hold such position,Katika mawaziri niliowapenda ni pamoja na huyo.
Kanifanya niotee kuvuta umeme nyumbani kwangu kwa 27000!
Nilivyomaliza kuunganishiwa tu ni kama toto bima, vikafutwa kwa ukandamizaji mkubwa.
Pole sana mheshimiwa!