GE2025 Jesca Msambatavangu aweka nia tena Iringa Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Amefanya nini cha maana jimboni na taifani!!?
Hii nchi mpo vijana wa hovyo sana.
Yaani unasifia mbunge kuwa "mafioso" kama vile ndio wanachohitaji wabunge!!!?
Kiongozi ndani ya CCM chaguo jimbo la kushinda.

Siasa zipo hivyo duniani kote, unapima eneo kwanza.

Never say, never; Ila ‘Msambatavangu’ sio easy picking; katika wabunge ambao sio mawaziri kuwatoa huyu ni number one.

Msambatavangu, ana uwezo wa kumvaa mmbunge wa jimbo la lolote Iringa na kumshinda include ‘Lukuvi’.

Anyway yetu macho, ngoja tuone I could be proved wrong,
 
Nakumbuka shule ya msingi ndio tulikua tunasoma hadithi za abunuasi, sijui ndio kama hizi au zinafanana,
Mimi kwa iringa sijaona kipya katika kipindi chake. kashindwa kukamilisha stand ya Igumbilo mpaka leo
 
John The Baptist Jesca Msambavanga ni yupi kati hao wawili? This is really confusing. Ina maana Iringa ina jinsia moja ya kiume tuu?😡😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…