Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
 
Mmeshachoka? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mmeshachoka? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wahamiaji haramu tutawatambua tu kwa sura zenu halisi .

Mtanzania kweli hawezi kuwa na moyo wakikuma kama wakwako ,

**** la mamaako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…