jeshi kuanza kuimba kesho helkopta ya kijesh kutua clouds fm

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
jeshi la east coast team kesho linaanza rasmi harakati zake za muziki kwa kuanzia nyimbo kali mbili ndani ya xxl ya clouds fm
 
Muziki ni wakati jamaa wanawakati mgumu sana
 
mfalme chizi anarudi kwa hasira
 
ngoja 2subiri,wale mamluki wao fa na ay nao wamerudi ama?🙂
 
jeshi la east coast team kesho linaanza rasmi harakati zake za muziki kwa kuanzia nyimbo kali mbili ndani ya xxl ya clouds fm

mziki umechange labda waje kisasahivi.... la sihivyo watachemka.
 
wana ngoma nagwa sana
 
Ulivyosema jeshi nikashtukaje kumbe ni wale ECT,...,sijui walipoteleaga wapi aisee
 
aaah kumbe ni old skul ECT da ngoja tuwaone maana labda akina O-Ten watarudi tena hewani he he he he he
 
Nilikuwa nikimsubiri kamanda gwamaka, ila kwenye interview aliyofanya leo nimeona bado ana mawazo ya kizamani ya bifu bifu zilizopitwa na wakati wakati hivi sasa mziki biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…