Wanafanya mazoezi ya siku yake ya kuapishwa kuiongoza tena Tanzania kwa kipindi cha pili 2010-2015....
Sawa Jafar?
Unataka kadi?
Hata JWTZ wanapoteza muda wao wa nini?
Kuna tetesi kuwa JWTZ na vikosi vyake vinaandaa gwaride rasmi la kumuaga JK kwa kumaliza kipindi chake cha kwanza cha uraisi siku ya Jumamosi katika viwanja vya chuo cha Polisi temeke.
Wanafanya hivyo ili asiaibike kutoka Ikulu bila kuagwa.
Mwenye habari zaidi atujuze.