Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Taarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023.
Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je IDF watakuja na mbinu nyingine ya kupambana na Hamas kuwaokoa mateka hao? Tusubiri tuone.
Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je IDF watakuja na mbinu nyingine ya kupambana na Hamas kuwaokoa mateka hao? Tusubiri tuone.