Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
wacha visingizio,kwahiyo hao askari wa IDF waliokufa walijiua wenyewe?Hamasi wenyewe hawakai Gaza wapo nchi jirani wakila bata wakati ardhi yao ikigeuzwa kifusi.
Swali zuriwacha visingizio,kwahiyo hao askari wa IDF waliokufa walijiua wenyewe?
Kwahiyo IDF wanapigwa na mizimu huko Gaza?Hamasi wenyewe hawakai Gaza wapo nchi jirani wakila bata wakati ardhi yao ikigeuzwa kifusi.
Hii dini ya Waarabu ni ushetani mtupuTaarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023.
Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je IDF watakuja na mbinu nyingine ya kupambana na Hamas kuwaokoa mateka hao? Tusubiri tuone.
View attachment 2956531
Kikubwa kilichowapeleka huko ni kwenda kukomboa mateka lakini wameshindwa sasa hapo wamekamilisha nini!IDF jeshi bora duniani na MOSAD ndio taasisi bora kabisa ya ushushushu,wamemaliza kazi wanaondoka,ulitaka wabaki kufanya nini?.
Wameunguza karibia 200trillion hapo na uchumi upo hoiKikubwa kilichowapeleka huko ni kwenda kukomboa mateka lakini wameshindwa sasa hapo wamekamilisha nini!
Umesoma kichwa cha habari au umekuja na hasira zako kwa waislamu?Hii dini ya Waarabu ni ushetani mtupu
Kuna watu wana akili kibaba! Mtoa hoja kaleta uzi X anae changia anajib upupu...Kweli JF imevamiwaHii dini ya Waarabu ni ushetani mtupu
Acheni propoganda nchi zote za jirani zinamsaidia Israel, wacha hio tu hata Google kumbe inawasaidia Israel kuwapa infomation, na yote hayo kashindwa kukomboa hata mateka mmoja ni aibu aisay.Hamasi wenyewe hawakai Gaza wapo nchi jirani wakila bata wakati ardhi yao ikigeuzwa kifusi.
Hii habari mbona siyo ya kutafuta kwa torch mkuuSource yako ni hizo Tweets za Mujahidina?
Acheni Uzushi enyi wafuasi wa Mwamedi...IDF wanatoka huko kwa kufuata maagizo ya Gutteres, Katibu Mkuu wa UN aliyewaambia waondoke na waruhusu vyakula vipelekwe GazaKikubwa kilichowapeleka huko ni kwenda kukomboa mateka lakini wameshindwa sasa hapo wamekamilisha nini!
Wanaondoa Vikosi kadhaa na kuacha Brigade moja, sasa kwanini unatafuta habari nusu nusu?Hii habari mbona siyo ya kutafuta kwa torch mkuu
Hii haiwezi kua sababu kuu ya Israel ku withdraw vikosi vilivyo kua gaza Israel anakiburi na amri kama hizo kesha ambiwa mara nyingi kazipuuziaAcheni Uzushi enyi wafuasi wa Mwamedi...IDF wanatoka huko kwa kufuata maagizo ya Gutteres, Katibu Mkuu wa UN aliyewaambia waondoke na waruhusu vyakula vipelekwe Gaza
Mengine ni Uzushi tu na Umbea
Najua kuwa hapa DUNIANI hakuna jamii yenye msimamo na kiburi kama Israel na Wasomali, this is their natureHii haiwezi kua sababu kuu ya Israel ku withdraw vikosi vilivyo kua gaza Israel anakiburi na amri kama hizo kesha ambiwa mara nyingi kazipuuzia
Israel saizi ana mfupa mgumu wa kuutafuna (Iran with his proxies) ambao obviously anaitaji Askari wengi kwa utayari wa vita inayo tazamiwa kutokea hii sasa sio kama ya Gaza unapigana na mtu hana hata kifaru kimoja
Ni lazma kutoa battalion Gaza strip kujiandaa na death shadow inayokuja
Wapewe Pole magaidi wa Israel.Taarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023.
Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je IDF watakuja na mbinu nyingine ya kupambana na Hamas kuwaokoa mateka hao? Tusubiri tuone.
View attachment 2956531