Jeshi la CONGO FARDC wazembe kabisa

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
Yani wao wakisikia kitu Boom! Silaha Magari wanaacha hapo na kukimbia😂😂
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Asee lakini kuretreat vitani siyo kosa wala jambo baya hasa pale mnapojikuta kikosi chenu kimezidiwa mbinu!!
 
Asee lakini kuretreat vitani siyo kosa wala jambo baya hasa pale mnapojikuta kikosi chenu kimezidiwa mbinu!!
Ni sahihi lakini hawapo organized,Kuna clip wanabishana kumrushia rocket launcher adui
Mwaka 1997 hao jamaa walikosa ma rubani wa kurusha ndege za kivita kwenda front,
 
wanajeshi wa kongo inaonekana hamna kitu kabisa kabisa...wamezoea kukata viuno na kujichubua...🤣😁
 
Poleni sana wana Congo kwa songombingo la waasi hao
Nalog off Z
 
Nimeona mwakilishi wa DRC katika umoja wa Mataifa anasema jeahi lao haliwezikuli da raia na mali zao eti kwa sababu tayari limeshaingiliwa na na maadui kutoka nchi jirani.
 
Nimeona mwakilishi wa DRC katika umoja wa Mataifa anasema jeahi lao haliwezikuli da raia na mali zao eti kwa sababu tayari limeshaingiliwa na na maadui kutoka nchi jirani.
Wewe mwenyewe jifunze kuandiK vizuri basi mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…