Ipo siku yake moja Allah sw akimmuhitajiMzee Hana chembe ya huruma
Allah is too slow to react, I doubt about his ability to deal with human, my doubt is pinned with what I see several times, why is he telling his followers to re act on his behalf?Ipo siku yake moja Allah sw akimmuhitaji
How do you know that he has told them to react on behalf of him? NI KUKOSA AKILI TU NA KUJIPA MAJUKUMU YASIYOWAHUSU.Allah is too slow to react, I doubt about his ability to deal with human, my doubt is pinned with what I see several times, why is he telling his followers to re act on his behalf?
UA. MBWA HAO,Ipo siku yake moja Allah sw akimmuhitaji
R.I.P jeshi la akibaIDF imewaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba kabla ya upanuzi mkubwa wa mashambulizi yake Gaza.
Hatua hiyo ya kijeshi iliyoidhinishwa na Waziri Mkuu Netanyahu, inakuja ikiwa ni sehemu ya mpango mkubwa zaidi wa kuzidisha operesheni huko Gaza kwa lengo la kuishinda Hamas na kuachiliwa huru kwa mateka 59 waliosalia.
Wahifadhi wengi walioitwa tayari wamehudumu kwa raundi nyingi tangu vita vilipoanza Oktoba 2023.
Mwito huo unafanyika sambamba na mashambulizi makali ya anga ya Israel, ambayo yanaripotiwa kuwaua takriban watu 40 katika muda wa saa 24 zilizopita.
Askari wa akiba wanaopokea maagizo usiku wa leo wanatarajiwa kuripoti kazini wiki nzima ijayo.
Netanyahu pia aliahirisha ziara yake iliyopangwa nchini Azerbaijan kutokana na maendeleo ya usalama huko Gaza na Syria.
View attachment 3323969
Wamewatengea maeneo maalumu ya kukaa wenyewe wametengeneza mahema ndo wanaishi humo lakini humohumo kwenye mahema wanawarushia mabomuWanaume wao wanakuwa wapi wakati wanawake na watoto wakiuwawa? Hata hujui kuwa Hamas wanawafanya kuwa Kinga!!!
Hizi propaganda zimepitwa na wakati. Kazi inaendeleaKwenda kuua watoto na wanawake
Kama wanaficha magaidi kwenye mahema watafikiwa tu.Wamewatengea maeneo maalumu ya kukaa wenyewe wametengeneza mahema ndo wanaishi humo lakini humohumo kwenye mahema wanawarushia mabomu
Kwenye mahema wanauwa watotoKama wanaficha magaidi kwenye mahema watafikiwa tu.