Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hapo juzi jeshi la Israel lililposema limevuka mpaka wanamgambo wa Hizbullah walikanusha kuona askari hao wakibuka mpaka. Ilionekana ilikuwa ni taarifa za kupima kina cha bahari tu.
Leo ndio kwa mara ya mwanzo jeshi hilo limetia mguu na ripoti zinasema jeshi la IDF limepata hasara kubwa kwani magari ya ambalensi na helkopta vimeonekana vikiwa na harakati kubwa ya ingia toka kutoka ndani ya mpaka wa Lebanon
Taarifa hizo ni kwa mujibu wa wapasha habari wa Aljazeera ambao hata hivyo wanaripoti kutoka mbali kwani jeshi la IDF limekuwa likiwazuia Aljazeera kufanya kazi karibu nao.