Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lawahusisha wanajeshi wa Rwanda na waasi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda.

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa Rwanda waliohusika na shambulizi hilo na kuwawasilisha katika mkutano na waandishi wa habari.

Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa msemaji wa serikali ya Rwanda, msemaji wa jeshi na mwanasheria mkuu hawakujibu maombi ya kutoa maoni yao.

Katika taarifa, jeshi la Congo limesema waasi walishambulia maeneo yao huko Tshanzu na Runyonyi.
Ilisema "hatua zote zimechukuliwa ili kurejesha mamlaka haraka" katika mikoa hiyo miwili.

Umoja wa Mataifa umekuwa ukishutumu Rwanda na Uganda kwa kuunga mkono M23 ingawa serikali zote mbili zinakanusha madai hayo.
Kundi hilo la waasi, linaloundwa na waasi wa jeshi ambao wengi wao ni wa kabila la watutsi, lilipewa jina baada ya mkataba wa amani wa Machi 23, 2009 uliotiwa saini na serikali na wanamgambo wa zamani.

BBC Swahili
 
sasa washajua kwann DRC isikusanye jeshi na kuivamia rwanda yaan hili linchi likubwa lakin hamna kitu
 
Kagame kibaka, Tanzania ikawashughulikie tena hao M23 hadi kigali
Sio raising hivyo mkuu Rwanda kwa sasa kijeshi kuwa mwangalifu nao,hapo Mozambique jeshi la Rwanda (sio member wa SADC)ndio wanaolinda eneo lote la LNG na majeshi mengine yapo nje ya wigo ule, tujitahidi pia kufuatilia ya hapa nyumbani kuliko ukraine na drc
 
Kibaraka wa marekani tu huyo
 
sasa washajua kwann DRC isikusanye jeshi na kuivamia rwanda yaan hili linchi likubwa lakin hamna kitu
Kufanyaje?Colonel huyo!🤣🤣
 
Attachments

  • twitter_20220605_071911.mp4
    2.3 MB
  • twitter_20220605_071934.mp4
    6.8 MB
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda.

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa Rwanda waliohusika na shambulizi hilo na kuwawasilisha katika mkutano na waandishi wa habari.

Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa msemaji wa serikali ya Rwanda, msemaji wa jeshi na mwanasheria mkuu hawakujibu maombi ya kutoa maoni yao.

Katika taarifa, jeshi la Congo limesema waasi walishambulia maeneo yao huko Tshanzu na Runyonyi.
Ilisema "hatua zote zimechukuliwa ili kurejesha mamlaka haraka" katika mikoa hiyo miwili.

Umoja wa Mataifa umekuwa ukishutumu Rwanda na Uganda kwa kuunga mkono M23 ingawa serikali zote mbili zinakanusha madai hayo.
Kundi hilo la waasi, linaloundwa na waasi wa jeshi ambao wengi wao ni wa kabila la watutsi, lilipewa jina baada ya mkataba wa amani wa Machi 23, 2009 uliotiwa saini na serikali na wanamgambo wa zamani.

BBC Swahili
Hao ni congo man brother! shida kuongea kinyarwanda tu,myaka mia 300 wako congo. kuwatoa itakua ngumu.

Check walichomfanya Colonel na majigambo yake😂😂
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda.

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa Rwanda waliohusika na shambulizi hilo na kuwawasilisha katika mkutano na waandishi wa habari.

Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa msemaji wa serikali ya Rwanda, msemaji wa jeshi na mwanasheria mkuu hawakujibu maombi ya kutoa maoni yao.

Katika taarifa, jeshi la Congo limesema waasi walishambulia maeneo yao huko Tshanzu na Runyonyi.
Ilisema "hatua zote zimechukuliwa ili kurejesha mamlaka haraka" katika mikoa hiyo miwili.

Umoja wa Mataifa umekuwa ukishutumu Rwanda na Uganda kwa kuunga mkono M23 ingawa serikali zote mbili zinakanusha madai hayo.
Kundi hilo la waasi, linaloundwa na waasi wa jeshi ambao wengi wao ni wa kabila la watutsi, lilipewa jina baada ya mkataba wa amani wa Machi 23, 2009 uliotiwa saini na serikali na wanamgambo wa zamani.

BBC Swahili
M23 ni wa congoman brother! miaka 300 wako pale,kuwatoa itakua ngumu.
Check majigambo ya Conali wa DRC na baada ya majigambo.😂😂😂
 
Attachments

  • twitter_20220605_071911.mp4
    2.3 MB
  • twitter_20220605_071934.mp4
    6.8 MB
Hakuna kikundi cha waasi kinachoweza kuendesha vita katika nchi yoyote ya kiafrika bila kusaidiwa kutoka nje. Rwanda na Uganda wana mikono yao kwa 100% katika vita inayoendelea DRC. Wakongo hawana shida yoyote wakibakia wenyewe katika nchi yao.

Na hakuna silaha yoyote nzito nzito inayoweza kuwafikia waasi wa DRC bila kupitia bandari ya Dar. Tanzania sisi ni wahuni na wahamasishaji (catalyst) ya vita vya DRC, Tanzania tukiamua hiyo vita ya DRC iishe ndani ya siku 90 tu, vita itakwisha na itabakia kuwa hadithi. Iwe kwa njia ya Diplomasia, Nguvu au Uchumi Tanzania tunaweza kumaliza mzozo wa DRC.
 
Tanzania haihusiki na upatikanaji wa silaha CONGO

Waasi wanazipata silaha kutoka kwa wanajeshi wenyewe wa congo

Silaha zingine zinapitia uganda na Rwanda japo ni kwa kiasi kiduchu saana na silaha dhaifu
 
Back
Top Bottom