NI FUNZO KUBWA SANA KWA WENGINE.....MATUMIZI YA NGUVU HAYANA TIJA , WAKATI MWINGINE WAACHE WATU UONE KAMA WATAKUWA WEHU WA KULETA FUJO BILA SABABU.MIMI NIMEWAPENDA SANA ASKALI WA KENYAWatu wengi wangetiwa vilema na hata kupoteza uhai wao.
Na si tutamuapisha lisu awe rais
Tahira wenu yule DJ au mamvi?Angekua tahira wetu wangekoma
Kama kawaida, kwenu kumewashinda mnaishia kujifariji na vya watu.Angekua tahira wetu wangekoma
Mɓona ɓaɓa ƴenu hakwenda hata huƙo Ethiopia?Kilichonifurahisha baada ya kuona odinga anajiapisha akakimbia Ethiopia kurudi nyumbani kuhofia odinga asije akaenda ikulu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
weeee///////KUNA HAJA YA MAGUFULI KUJIFUNZA KWA KENYATA
Hata angekuwa nani yule asingefanya vinginevyo. Sababu mbili za muhimu, kwanza, jeshi halikumtii ni kama maigizo tu. Pili, naye ana kundi kubwa hivyo kufanya vinginevyo ni athari zaidi. Lakini, hili picha halitaishia hapa, hadi hapo watakapokutana tena mezani.Dunia ilitarajia leo yangetokea machafuko wakati Odinga akijiapiza kuwa raisi wa watu wa kenya.ilitarajiwa police wa kenya wangezuia na kusababisha umwagikaji wa damu hasa kutokana na umati mkubwa wa watu uliokuwa ukitarajiwa.
Nampongeza Kenyatta kwa kuamua kutulia na kumuacha Odinga afanye alichokusudia bila ya kubugudhiwa na police, hii imeepusha sana umwagikaji wa damu .
Hongereni askali police wa KENYA.
Yaani Magufuli yuko hatarini kuondolewa kuliko Kenyatta? Umefikiri vya kutosha kweli? Nani wa kumuondoa sasa hata kwa sanduku la kura?Jamaa wetu hajiamini, ni muoga anahisi kuondolewa Kila saa
Naomba nikutahadharishe tu mkuu..Angekua tahira wetu wangekoma
Kwani we msomi uchwara hujui haitakuchukua hata miezi kuwa raia wa hiyo nchi? Anza leo, uchaguzi ujao utachagua wa kumchagua kati ya kizazi cha Kenyatta ama Odinga.I wish I could be a kenyan[emoji2] [emoji2] [emoji2]
NI FUNZO KUBWA SANA KWA WENGINE.....MATUMIZI YA NGUVU HAYANA TIJA , WAKATI MWINGINE WAACHE WATU UONE KAMA WATAKUWA WEHU WA KULETA FUJO BILA SABABU.MIMI NIMEWAPENDA SANA ASKALI WA KENYA
Mbona sijataja jina au ndio athari za kulelewa bila.......Tahira wenu yule DJ au mamvi?
Wapi ametajwa hyo uliyemtaja?Yaani Magufuli yuko hatarini kuondolewa kuliko Kenyatta? Umefikiri vya kutosha kweli? Nani wa kumuondoa sasa hata kwa sanduku la kura?
We kenge acha kutisha watu hapa, fanya uwezalo pussy wewe..Naomba nikutahadharishe tu mkuu..
Hujajificha kiasi cha ww kuweza kusema maneno haya. Ni kitendo cha nusu saaa tu ww taarifa zako zinapatika Chunga sana mdomo wako, chunga mihemko yako usidhani melo anaweza kukulinda..