Mmoja tu.Kwani kwenye group wanaotakiwa waende wangapi?
Waje wauze kiwanja chake huku ugogoni wakate hela yao hao Wamadagascar.Wanatudai hela za fursana za corona walizotupatia. Kabudi aliwaingiza mjini
Kwani Karia hayupo huko?!TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Madagascar. Askari walidai wanataka kuwatoa wachezaji wa Taifa Stars ambao wao wanadai wana maambukizi ya Covid-19.
View attachment 2010056
Mmoja tuKwani kwenye group wanaotakiwa waende wangapi?
Zile zililetwa ili kufanya majaribio tu...ile mitishamba hata bongo ipo.Kwani lile deni la zile dawa za corona mlilipa?
Na mkicheza mechi ikiisha wanajeshi waingie uwanjani na kuwakamata wote na kuwekwa ndani mpk deni la dawa la Corona mlimalize