Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Bila shaka Apo Mbunifu ni sheria ngowi[emoji38]
Hiv huyu jamaa ni mkenya au mtz?Bila shaka Apo Mbunifu ni sheria ngowi[emoji38]
Ni sababu gani zilizopelekea kubadilisha sare, au ni namna ya kupiga hela za walipa kodi?
Jeshi la magereza nchini limezindua sare mpya ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia leo Aprili 26, 2023 kwa wafungwa wakike wote wanaotumikia vifungo vyao gerezani.
Akizindua sare hizo, Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhan Nyamka amewataka wakuu wa magereza katika mikoa yote nchini kuhakikisha wanapokea mabadiliko hayo kwa kuhakikisha wafungwa wanakuwa na sare hizo.
Azam TV
Tumia app ya web.... huku hamna shida yoyote kwenye picha wala video ..... fuata maelekezo kwenye uzi huu 👇👇👇Wakuu wa JF Max mello siku hizi picha na video hazifungiki kama mwanzo. Hebu irekebishwe hili au ndio tutumie app gani tuingie huko kwa simu?