Jeshi la Mali lamshutumu Rais Macron kwa Ukoloni Mamboleo

Jeshi la Mali lamshutumu Rais Macron kwa Ukoloni Mamboleo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya kikabila

Hii ni kufuatia matamshi ya Rais Macron wiki iliyopita wakati wa ziara yake Afrika Magharibi kwamba Mataifa ya Kanda yalikuwa na jukumu la kuhakikisha Raia wa Mali wanaweza kuonyesha “Nguvu ya Umma” kuwa ya kichochezi

Aidha, mnamo mwezi Aprili zaidi ya Wanajeshi 5,000 wa Ufaransa waliondolewa nchini #Mali baada ya kuwepo kwa nchini humo tokea 2013 kupambana na makundi ya Waasi

............................................

The military government in Mali has accused French President Emmanuel Macron of a "neo-colonial, paternalistic and condescending" attitude. The junta asked Mr Macron to stop his criticism of the Malian army and stirring "ethnic hatred".

It follows Mr Macron's remarks last week during his tour in West Africa that regional states had the responsibility to ensure Malian people can "express the sovereignty of the people". Mr Macron also criticised the deployment of Russian mercenaries in Mali - which Mali denies.

"The transitional government demands that President Macron definitively abandon his neo-colonial, paternalistic and condescending posture to understand that no-one can love Mali more than the Malians," government spokesman Col Abdoulaye Maïga said on public television.

Bamako also condemned what it called "hateful and defamatory" remarks blaming the Malian army of killing civilians during recent operations. It criticised Mr Macron for making "erroneous" accusations "despite denials" by the Malian government.

The Malian army and Russian paramilitaries were accused of carrying out a massacre of hundreds of civilians in the central town of Moura in late March, according to Human Rights Watch. Relations between Paris and Bamako have deteriorated significantly over the past year.

France was pushed out by the junta after nine years’ presence in Mali fighting jihadists

Source: BBC
 
Back
Top Bottom