Jeshi la Marekani limesema halitoruhusu tena mashoga kujiunga na Jeshi

Jeshi la Marekani limesema halitoruhusu tena mashoga kujiunga na Jeshi

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Jeshi la marekani limesema halitoruhusu tena MASHOGA kujiunga na jeshi Hilo.

Chanzo: SPECTATOR INDEX
 
Attachments

  • Screenshot_20250215-225222.png
    Screenshot_20250215-225222.png
    176.3 KB · Views: 1
Hizo Sheria za muda gani maake huyu trump kesho kutwa atang'atuka aje mwingine na sera zake!

Watajuana wenyewe
 
Jeshi la marekani limesema halitoruhusu tena MASHOGA kujiunga na jeshi Hilo.

Chanzo: SPECTATOR INDEX
Baada ya kichapo cha Hamas au kule Ukraine kuna kitu Tramp kaambiwa kuusu awa Mashoga Awezi kuwatenga kwa chuki tu apana!!! itakuwa kwenye majukum nako kuna shida kaaambiwa!!!! Apo PUTO nakuunga mkono!!!!
 
Jeshi la marekani limesema halitoruhusu tena MASHOGA kujiunga na jeshi Hilo.

Chanzo: SPECTATOR INDEX
Baada ya kichapo cha Hamas au kule Ukraine kuna kitu Tramp kaambiwa kuusu awa Mashoga Awezi kuwatenga kwa chuki tu apana!!!itakuwa kwenye majukum nako kuna shida kaaambiwa!!!! Apo PUTO nakuunga mkono!!!!
 
Jeshi la marekani limesema halitoruhusu tena MASHOGA kujiunga na jeshi Hilo.

Chanzo: SPECTATOR INDEX
Correction sio mashoga ni different story. Transgender wanaobadili jinsia.

Up to now jeshi la marekani halija piga marufuku gays and lesbians, ila wanaobalidi jinsia they will no longer serve.
 
Vp miaka minne mbele akaja Raisi mpya akabatikisha alichosaini Trump itakuwaje?? Maana naona kama ni utashi wa Raisi wa nchi
 
Back
Top Bottom