Jeshi la polisi : Aliyemuuwa padri evaristi mushi akamatwa

Jeshi la polisi : Aliyemuuwa padri evaristi mushi akamatwa

Unaweza kuta ni porojo kama kwa Dr Ulimboka, huyo muuaji ama mtuhumiwa hana jina jamani

Polisi wetu bwana, haya ngoja tusubiri tuone
 
Wewe unaboa na ako kablog kako
Hii hapa.....
Lakini huyu kamanda huwa ni kichekesho kiaina.

uploadfromtaptalk1364572669760.jpg
uploadfromtaptalk1364572707047.jpg
uploadfromtaptalk1364572763736.jpg
 
Inawezekana ni mbinu yao ili hili suala lisizungumziwe kwenye makanisa wakati wa ibada za Ijumaa Kuu na Pasaka kama walivyotuhadaa na yule Mkenya wakati wa walivyomtesa Dr. Ulimboka
 
Heheheee,the timing is just too wrong.kupatikana kwa mtu siku moja tu baada ya Pengo kuwashutumu polisi kunaacha maswali mengi.Nchi ya matukio na sinema zisizoisha:ulimboka,mwangosi,barlow,Padri Evarist,chinese contract signings,BooooM jengo linaporomoka asubuhi jioni muuaji anapatikana.
NAIPENDA TANGANYIKA

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom