Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Aaah hivi ndivyo Pinda alishauri wapigeni sasa sijui kenya nao walicopy na kupaste?
Kumbe Kenyatta naye ni dikteta, anawezaje kuruhusu mauaji kama haya
Hao ni Administration police (polisi tawala).Lakini mbona ni kombati za kijeshi?