Jeshi la polisi kutaja makabila ya madada poa sio sawa kabisa, Tabia hii inajenga sterotyping ya kudhalilisha kabila zima.

Jeshi la polisi kutaja makabila ya madada poa sio sawa kabisa, Tabia hii inajenga sterotyping ya kudhalilisha kabila zima.

"UMALAYA , UMALAYA , UMALAYA" - "

MALAYA AKIKAMATWA ANAVALISHWA BANGO, KUNA SEHEMU YENYE KABILA LAKE HALAFU UNAPIGWA PICHA " HII SIO SAWA!!

Mfano hawa ni wale walikamatwa kwenye maanguro

hawa walikamwatwa wakijiuzza mitandaoni

Kwanini kuficha nyuso zao kama tayari mmewaandika majina?
Hao makahaba walikuwa wanafanya ukahaba na upepo?
 
Mtu anauza mwili wake nyie polisi mnaumizwa na nini?
1671620492180.png
 
"UMALAYA , UMALAYA , UMALAYA" - "

MALAYA AKIKAMATWA ANAVALISHWA BANGO, KUNA SEHEMU YENYE KABILA LAKE HALAFU UNAPIGWA PICHA " HII SIO SAWA!!

Mfano hawa ni wale walikamatwa kwenye maanguro

hawa walikamwatwa wakijiuzza mitandaoni

Kabila letu lile like tu yale mambo ya Katerero.
 
Duuh, mbona wahaya wengi hivyo?

Lakini mimi nadhani swala la mwanake kuuza mwili wake ni swala binafsi kabisa, hasa ukizingatia wateja wao ni wanaume kwahiyo kuwakamata haitasaida.

As longs as wanaume wana uchu wa mapenzi basi hiyo biashara haiwezi kuisha hata wafanye nini, niliona pia siku hizi kumezuka mtindo wa delivery (unaletewa k*m kwa kuoder tu), hapo napo watafanya nini?
 
"UMALAYA , UMALAYA , UMALAYA" - "

MALAYA AKIKAMATWA ANAVALISHWA BANGO, KUNA SEHEMU YENYE KABILA LAKE HALAFU UNAPIGWA PICHA " HII SIO SAWA!!

Mfano hawa ni wale walikamatwa kwenye maanguro

hawa walikamwatwa wakijiuzza mitandaoni

Umeziba USO umeacha jina?
 
Back
Top Bottom