Jeshi la polisi kutaja makabila ya madada poa sio sawa kabisa, Tabia hii inajenga sterotyping ya kudhalilisha kabila zima.

Kwanini kuficha nyuso zao kama tayari mmewaandika majina?
Hao makahaba walikuwa wanafanya ukahaba na upepo?
 
Kabila letu lile like tu yale mambo ya Katerero.
 
Duuh, mbona wahaya wengi hivyo?

Lakini mimi nadhani swala la mwanake kuuza mwili wake ni swala binafsi kabisa, hasa ukizingatia wateja wao ni wanaume kwahiyo kuwakamata haitasaida.

As longs as wanaume wana uchu wa mapenzi basi hiyo biashara haiwezi kuisha hata wafanye nini, niliona pia siku hizi kumezuka mtindo wa delivery (unaletewa k*m kwa kuoder tu), hapo napo watafanya nini?
 
Umeziba USO umeacha jina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…