Jeshi la polisi kutaja makabila ya madada poa sio sawa kabisa, Tabia hii inajenga sterotyping ya kudhalilisha kabila zima.

Wamevunjiwa haki zao za msingi za kikatiba za kuchukuliwa kuwa hawana hatia mpaka mahakama itakapowapata na hatia.
 
Wanashindwa kukamata wezi wa mali za uma, wanawaangalia tu wanavyolamba asali wanahangaika na wajasiliamali wa mwili...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…