Elections 2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

Acheni uzushi jama.
Hilo tangazo limetoka hata kwenye vyombo vingine vya habari.
 
Kova you should stay away from this. Unashindwa kukamata wapiga debe, unashindwa kukamata majambazi na vibaka, hata wazee wa East African Community wamekutoa kamasi utaweza nguvu ya umma wewe? Kova nenda darasani kasome, ukisoma utajitambua na kujiona kuwa unachofanya ni kuwa karagosi na kibaraka wa mfumo wa utawala. Ukiendekeza hiyo unaweza kutoa amri ukakuta kati ya majeruhi kuna mkweo, babako mwanao etc ambao wanachukia wezi wa kura kwa dhati.

Kama watu wanataka kuandamana kwa ajili ya kupinga wizi wa kura huhitaji kuwashika wala kutoa onyo kama wewe ni askari kweli washike walioba kura usiwanyanyase walioibiwa kura.
 

Nafikiri hii ni mshangazo kidogo. Kama ikiwa mambo yalopo kufuatia uchaguzi na fununu ya uchakachuzi hayawasumbiui jeshi la polisi kufuatia na kuchunguza ila fununu za riot zinawadindisha, basi ni jambo la kushangaza sana.
 

Agreed.
 
HUU NI UJINGA!!!!!!!
JESHI LA KUWALINDA WEZI NA MAJAMBAZI KAMA SISIEMU NA KUKAMATA WAPENDA AMANI NA UHURU!
FAXS THEM..THIS IS STUPIDITY!!:nono::A S angry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…