Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Tahila kweli kwani wageni wakija kwenye nchi kila kitu kinasima ma ili kupokea wageni? Basi kama ni hivyo wangetangaza hali ya hatari ili kila mtu asitoke nje ili wageni wajuwe Samia na kina chalamila ndio wanao ishi Tanzania peke yao! Au ni sheria ipi inakataza kwamba wageni wakija hakuna press conference za vyama vya upizani? Hii nchi ina matahila wa kutosha kwelikweli.
 
Maana yke ni kwamba, jj lita simama siku patakapokua na mikutano 2-3 ya aina hiyo-yaani kukiwa na mktno zaidi, hatuna uwezo wa kuisimamia kiusalama- miaka 60+ ya uhuru pamoja na kutamba kote kuh. maendleo hatuwezi kuhakksha usalama wa wageni ...nk. pathetic
 
Hili jeshi limepoteza kabisa uelekeo. Limekua ni jeshi la kuendeshwa na matakwa ya wale kijani na njano.
 
Kijana wa Mbowe

Mbowe kwako ni kila kitu,Bila yeye huwezi lolote

Mbowe ndie kula yako,Mbowe ndie vaa yako
Mbowe ndie tembea yako

Upo hapa JF sababu ya Mbowe

Hongera kijana wa mbowe ,kwa sasa sio mwenyekiti tena nenda nyumbani kwake uonane na familia ujitambulishe kama ndugu mpya
 
Makamanda uchwara ni kama wamepungua siku hizi hapa JF baada ya uchaguzi huko chamani.
Huwezi kushabikia sehemu ambayo huna maslahi nayo

Ukiona shabiki wa ccm hasa wahindi ni kwa maslahi ya biashara zao na kukwepa kodi

Mashabiki wa Mbowe wanaogopa kwenda kwa familia yake ameshawaaga ,Pesa hakuna tena kwa machawa wake

Ukiona wanaoimba Mama mama wewe mitano tena ni maslahi ya fedha wanazopata

Mkaanga mihogo na ccm wapi na wapi kule ?
 
Tuendane na teknolojia.

Haina haja ya kugombana, afanye Zoom Meeting na live streaming kila anayetaka kuuona mkutano aufuate huko.
Mi sijaelewa kwani mkutano wa chadema unaathiri vipi mkutano wa serikali?
 
Tuliza gubu kijana wa Mbowe. Kwahiyo Mbowe angeshinda leo mngelianzisha? Maana naye dakika za mwisho aliahidi mapambano. Halafu unajua kuwa reform ni azimio la kamati kuu ya Mbowe? Sisi Mbowe tunamheshimu shida ni nyie machawaz.
Hupendi mi kua mkosoaji wa Lissu?? Ndo ishakua sasa tutawafundisha adabu nyie kima.
 
Ngoja kidogo muda unasogea pole pole.
 
Lissu hana akili na lile tumbo lake kubwa Kama pakacha… kamtukana sana Mbowe na tutahakikisha anaaibika vibaya sana liwe funzo kwa wanaharakati wahuni na washenzi.
Hizi ni kauli za mtu asiyejiheshimu. Tumbo kubwa kuliko la Nape au Wassira?

Lissu ataabika vipi na ni matusi gani alimtukana Mbowe?

CHADEMA itakuwa Imara kuliko Jana.
 
Afadhali magufuli kuliko samia. Ameminya uhuru wa kujieleza kwa kiwango cha juu zaidi
 
Hizi ni kauli za mtu asiyejiheshimu. Tumbo kubwa kuliko la Nape au Wassira?

Lissu ataabika vipi na ni matusi gani alimtukana Mbowe?

CHADEMA itakuwa Imara kuliko Jana.
CHADEMA haiendi popote chini ya huyo mhuni wa ubelgiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…