Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Press yake inazuiaje huo ugeni? Wacha upumbavu Jo.
Unaelewa Maana ya Chama kikuu Cha upinzani Lakini?

Mnyika anaweza kutangaza tishio Fulani Sasa wenzetu wako makini sana tofauti na nyie

Unadhani Mnyika ni Mjinga kuitisha Press wakati Mkutano ukiwa unaendelea? 🐼
 
Sema Chadema hapa nitasema wachokozi. Yaani jengo hilo hilo kunafanyika Mkutano wa Nishati nao wanataka kuongea na waandishi? The same place? Siyo sawa. Wangeenda fanyia sehemu nyingine.
utoto wa chadema wakkuwa watakujaga kuacha huo upuuzi
 
Mwishowe tutaambiwa kwa siku hizi za ugeni tusitoe chanjo kwa wake zetu.
 
Unaelewa Maana ya Chama kikuu Cha upinzani Lakini?

Mnyika anaweza kutangaza tishio Fulani Sasa wenzetu wako makini sana tofauti na nyie

Unadhani Mnyika ni Mjinga kuitisha Press wakati Mkutano ukiwa unaendelea? 🐼
Hizo najua siyo akili zako ni visungura hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…