Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki Maua Sama kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar, Mambosasa amethibitisha
Nadhani hawafahmu kwamba hela iliyoko mfukoni mwako bado ni mali ya serikali ww unamiliki thamani (value) yake tu. Na pia ni moja ya nembo ya taifa hivyo haipaswi kufujwa ama kudunishwa ktk hali yyte ile itakayoishushia thamani yake. Hii mitandao ni shida waache tu wakutane na pilato
 
Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki Maua Sama kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar, Mambosasa amethibitisha
Mmbea kapatikana[emoji23]
Ila ana connection magogoni atatolewa tu
Jiwe hawezikubali kipindi kisiwepo ijumaa
 
Duh! Kweli nyaku nyaku ina mkono mrefu. Yani watu wananyakuliwa kirahisi hivi kama kuku wa kisasa?
 
Naomba Picha ya Soud Brown akiwa nje ya Mask plz
.
images-1.jpeg
 
Mbona maua hayupo kwenye ile video...
 
Back
Top Bottom