fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Duuuh kumbeTCRA wanadai anaendesha blog kwa domain ya dot com badala ya dot co.tz coz walishatoa maelekezo muda tu wenye blog wote wanatakiwa watumie domain ya dot co.tz yeye naona kagoma, so usishangae akipandishwa kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi.
millard Ayo naye ni .Com mbona anapeta tuTCRA wanadai anaendesha blog kwa domain ya dot com badala ya dot co.tz coz walishatoa maelekezo muda tu wenye blog wote wanatakiwa watumie domain ya dot co.tz yeye naona kagoma, so usishangae akipandishwa kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi.
Nasubiri kuona kama habari hii itarushwa na shilawadu... Kama yote eeeehhhhhh......[emoji12] [emoji18] [emoji12] [emoji12]
mmh hizo pesa hawajazichana...wamezikanyaga tu na kuendelea kuzitumia...hapo hamna kosa ni upuuzo tu., ni sawa na kuweka pesa kwenye wallet halafu ukalie hiyo wallet....kwa hiyo na wewe ushtakiwe kwa kukalia walletMkuu ndio tatizo la maceleb wetu hata uwezo wa kufikiri na kutambua hili baya au zuri hawajui kazi kuchonga midomo kama kasuku na kutafuta umaarufu,pesa ni nembo ya taifa na sheria inakataza kusigina pesa,kwani pesa sio ya mtumiaji tu,ukiwaamba watu wasome na waongeze maarifa unaonekana umepitwa na wakati,kabla hujafanya jambo fikiria pia na upande mwingine,hawa ndio vihiyo wetu
Sudi mwenyewe kakamatwa kwa kosa la kupost video, unataka nani aipost tenaBila video siredi hii ni udaku
Kukanyaga kanyaga hela ni kuidhalilishammh hizo pesa hawajazichana...wamezikanyaga tu na kuendelea kuzitumia...hapo hamna kosa ni upuuzo tu., ni sawa na kuweka pesa kwenye wallet halafu ukalie hiyo wallet....kwa hiyo na wewe ushtakiwe kwa kukalia wallet
Wakome,watu tunaisoma namba wao wanaichezea hio namba
Mbona unalinganisha vitu tofauti kukanyaga na kukalia kitu ni mambo mawili tofauti,ndio maana tunakalia viti na hatukanyagi viti,nawe umekuwa kama Sudi Brown!mmh hizo pesa hawajazichana...wamezikanyaga tu na kuendelea kuzitumia...hapo hamna kosa ni upuuzo tu., ni sawa na kuweka pesa kwenye wallet halafu ukalie hiyo wallet....kwa hiyo na wewe ushtakiwe kwa kukalia wallet