Hata kujiita laki si pesa ni kudharau thamani ya pesa ya Kitanzania unatakiwa uhojiwe WW.mmh hizo pesa hawajazichana...wamezikanyaga tu na kuendelea kuzitumia...hapo hamna kosa ni upuuzo tu., ni sawa na kuweka pesa kwenye wallet halafu ukalie hiyo wallet....kwa hiyo na wewe ushtakiwe kwa kukalia wallet
hivi hana kitu nta kweli!!?..maana wa vile wanakuwaga asali,kutoka huweziNinachompendea maua sami sauti na sura yake ni acidi na base
Ni kosa kweli, ila tatizo ni kuwepo kwa double standard, kuna video nyingi sana zipo mtandaoni kama hizo lakini mbona kwao hakuna yaliyowakuta?? Na kama sio mambo mengine tu inakuwaje mtu ashikiriwe siku 7 bila kupelekwa mahakamani?? Na usije shangaa wakaja kuachiwa huru bila hata kufikishwa mahakamani!!!Hii ni kesi kubwa sana, tena ingekuwa kwa nchi kama China wangekuwa na hali mbaya. Sio Tanzania tu niliambiwa USA dollars , mwisho kuikunja ni mara moja, ukiikunja kunja ni kosa. Ila hawa jamaa naona waachiwe na wapewe onyo kali kwani wao wameipost instagram na kusambaziana ile video wao kwa wao, ila yule jamaa ktk ile video aliyekuwa akizifagia zile noti, ndiye anatakiwa kunyooshwa.
MX CARTER naye kumbe yupo Lock up,kanusurika ajali juzi na kigwangala.Shafii Dauda, Soud Brown, Mauasama na sijui nani wote wako Lockup
Yule sudi si anavaaga ninja? Sasa wamemjuaje?Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki Maua Sama kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar, Mambosasa amethibitisha
Noma sana,sheria iko chini yao..wap ndo waamuziNaamini mtu wa pili kuingia jehanamu baada ya shetani ni mwanasiasaView attachment 875334View attachment 875335