felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Tunaomba Jeshi la Polisi kupitia Kamanda mbobevu na mwenye weledi mkubwa wa kazi yake Kamanda Muliro kuhakikisha kua wanawachukulia hatua Kali ambao wanaojiita makomandoo ambao kimsingi Mimi nawaona kama wahalifu tu
Nachojua Makomandoo au Ukomandoo ni title kubwa sana ya kijeshi na zaidi najua makomandoo halisi wako huko maporiini kwenye mazoezi makali ya kijeshi kwenye undisclosed location wakiwa wame nyuti wanashangaana kua eti Kuna watu wanajiita makomandoo huko uraiani wanazuia watu kufanya shuhuli zao.
Tunaomba wachukuliwe kama wahalifu na wachukuliwe hatua Kali ili iwe fundisho kwa ujinga wa namna hii kujitokeza tena nchi hii kwenye sekta ya michezo, na teknlojia siku hizi ni dakika sifuri tu tumewaona kwenye video clips na hata viongozi wa heshma wa Simba sport ls club Wanao ushahidi kuzuiwa na hiko kikundi Cha kihalifu/kihuni.