kennytapwazy
New Member
- Feb 11, 2025
- 1
- 0
Imekuwa ni kawaida na mazoea makubwa sana sasa kwa madereva bajaji mkoa wa Mbeya kupakia abiria wawili mbele na wengine wakiwa wamening'inia na dereva kuendesha bajaji huku akiwa amechuchumaa tena main road kila siku na wahusika wapo tu wanawaangalia kila siku hawawachukulii hatua zozote zile wakiwepo na jeshi la polisi.
Hii ni hatari sana kwa usalama wa abiria.
Hii ni hatari sana kwa usalama wa abiria.